Joseph Guede movement zitakuwa zinawafyonza mabeki wa Kagera, akishaenda beki mmoja atabaki

Movement za Guede zitakuwa zinawafyonza mabeki wa Kagera, akishaenda beki mmoja atabaki, na hapo ndipo wachezaji wenzake wataweza kuingia kwenye nafasi na kuitumia. Ninafikiri akianza basi mikimbio yake itakuwa faida sana kwa Yanga.”

“Halafu Yanga wamemsajili mshambuliaji mwenye miaka 29 ambaye ana uzoefu lakini pia anatumia zaidi mguu wa kulia, kwa hiyo Kagera hawatoruhusu Guede autumie mguu wake wa kulia sababu ni mchezaji hatari na anayefanya mikimbio.”

“Lakini pia Pacome na Aziz Ki ni wazuri sana kupiga krosi kwahiyo Guede anaweza kufaidika kwa kutumia krosi zao na kufunga kwa urahisi kwa vichwa.”

Amesema mchambuzi wa soka Hans Raphael kupitia Wasafi FM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button