Naibu Waziri Mhe. Hamis Mwinjuma akizungumza na Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma / mwanafa akizungumza na Waheshimiwa Mawaziri na Wabunge wakati wa Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge la Kumi na Mbili jijini Dodoma, Januari 29,2024.







