Maandalizi ya Kaburi Atakalizikwa Raila Odinga

Maandalizi ya Kaburi Atakalizikwa Raila Odinga.

Maandalizi ya kaburi atakalozikwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, hayati Raila Odinga nyumbani kwao katika Kaunti ya Siaya.

Odinga alifariki dunia Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu nchini India anazikwa leo Jumapili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button