Mama Fatma karume amtembela Rc makonda Arusha, Aongoza Dua nzito kumuombea kheri
MAMA FATMA KARUME AMTEMBELEA RC MAKONDA ARUSHA, AONGOZA DUA NZITO KUMUOMBEA KHERI.
Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda, akionesha kuridhishwa na Uwajibikaji wake na nia njema aliyoionesha kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha tangu kuteuliwa kwake kuongoza Mkoa huo Machi 30, 2024.