Masaa machache yamepita tangu Msanii Gnakowarawara kuvujisha ngoma mpya ya kundi la Weusi, kitendo hicho kimemuibuka Rapa wa kundi hilo Joh Makini ambae ameonyesha kutopendezwa kabisa kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika 👇🏻

Masaa machache yamepita tangu Msanii @gnakowarawara kuvujisha ngoma mpya ya kundi la Weusi, kitendo hicho kimemuibuka Rapa wa kundi hilo Joh Makini ambae ameonyesha kutopendezwa kabisa kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika 👇🏻

“Hatuwezi kutoa miziki kiholela kwa kujaribu kama Pipii hizi sio piano bana” @johmakinitz

Majibizano hayo yameonyesha kuwa hakuna maelewano mazuri kwenye suala la kuachia wimbo wa kundi lao la Weusi.

Kama mbwai mbwai tu, @gnakowarawara ameishinda vita rasmi ameidondosha ngoma mpya ya Weusi inayoitwa “Hii Hapa” nenda ka-enjoy nayo. Japo kwa @johmakinitz @lordeyesmweusi hawakuridhika kabisa na wimbo huo kutoka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button