Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro damasndumbaro_official ameshiriki sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizoongozwa na Waziri Mkuu
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro @damasndumbaro_official ameshiriki sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zilizoongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Aprili 02, 2024 Mkoani Kilimanjaro
Mwenge Uhuru utakimbizwa kwa siku 195 katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar ambapo utazindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.@owm_tz








