Mhe. January Makamba amemtembelea Mheshimiwa Rais Paul Kagame na kufikisha salamu toka kwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Katika siku ya mwisho ya ziara yenye mafanikio makubwa nchini Rwanda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amemtembelea Mheshimiwa Rais Paul Kagame na kufikisha salamu toka kwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mwongozo wake kwenye kukuza uhusiano wa nchi zetu umekuwa na mchango mkubwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button