Mtayarishaji mkongwe wa Marekani Dr. Dre atatunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk Of Fame.

Mtayarishaji mkongwe wa Marekani Dr. Dre atatunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk Of Fame. Nyota hiyo itazinduliwa wiki ijayo ikiwa ni heshima kwa jina la Dre kutokea kwenye barabara hiyo ambayo imesheheni majina zaidi ya 2000 ya watu mashuhuri ambao wameleta mchango chanya kwenye kazi wanayoifanya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button