Steph Curry ameulizwa na Mtangazaji wa CBS Mornings, Jericka Duncan kama siku moja anafikiria kuwa Rais wa Marekani? Steph Curry alijibu kwa kusema “Maybe”

Nyota wa Golden State Warriors, Steph Curry ameulizwa na Mtangazaji wa CBS Mornings, Jericka Duncan kama siku moja anafikiria kuwa Rais wa Marekani? Steph Curry alijibu kwa kusema “Maybe” yaani Labda, kwani ana matamanio makubwa ya kuleta mabadiliko hivyo kama siasa ndio njia sahihi, basi ataifuata.

“Nina hamu ya kuinua kila eneo la ushawishi wangu na kulitumia vizuri kwa kadri niwezavyo. Kwa hiyo kama hiyo ndio namna pekee ya kufanya, basi. Siwezi kusema Urais, lakini kama siasa ndio njia pekee ya kuleta mabadiliko yenye tija, siiondoi nafasi hiyo.” Alieleza Steph Curry.

President Joe Biden gives a tour of the Oval Office to Golden State Warriors guard Steph Curry and head coach Steve Kerr, Tuesday, January 17, 2023, before an event celebrating the team’s 2022 NBA championship. (Official White House Photo by Adam Schultz)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button