Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mtwara mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 14 Septemba, 2023.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button