Manchester United VS Brighton Tarehe 16/09/23

Manchester United msimu uliopita walichezea kipigo kutoka kwa Brighton kwenye mechi ya pili tu ya msimu, msimu huu wanakutana tena mapema huku Brighton wakiwa moto na United wakihamgaika kama ilivyokuwa msimu uliopita.

Kiwango cha Man United ya Onana na ile ya De Gea hakuna tofauti sana, Onana kashakula bao 8 kwenye mechi 4 huku bado akionekana nyanya.

Tarehe 16 Septemba Jumamaosi hii ndio mechi kubwa kuliko zote weekend hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button