Alikamwe na Ahmed Ally Mbele Ya Kamati ya Maadili TFF.

Alikamwe na Ahmed Ally Mbele Ya Kamati ya Maadili TFF.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally na Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe wote wameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa tuhuma za kutenda makOsa ya kimaadili.

Wawili hao wameripoti asubuhi ya leo, Machi 3, 2025 kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume, Dar es Salaam kwaajili ya kusikiliza kusomewa makosa yao na hukumu.

Ikumbukwe kuwa Jumamosi Machi8, Simba na Yanga watakuwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, kwenye mchezo wa Kariakoo Derby.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button