Mtoto wa Miaka 13 Apewa Kazi Usalama wa Taifa Marekani

Mtoto wa Miaka 13 Apewa Kazi Usalama wa Taifa Marekani

Rais wa Marekani,Donald Trump.amempa heshima kubwa Devarjaye “DJ” Daniel, kijana wa miaka 13 aliyetamani kuwa afisa wa polisi lakini aligunduliwa kuwa na saratani ya ubongo mwaka 2018.

Trump aliwaomba Secret Service kumfanya rasmi kuwa wakala wa shirika hilo, akimpa hadhi maalum kama sehemu ya ndoto yake ya kufanya kazi usalama wa taifa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button