Mhe. Waziri Mkuu afanya ziara katika viwanja vya Gymkhana, Shule ya Sheria na Meja Isamhuyo vilivyopo jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka wakandarasi na wasimamizi wote wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika kwa ajili ya mashindano ya CHAN 2024 na AFCON 2027 kushirikiana na kuhakikisha vinakamilisha kwa wakati.

Mhe. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo tarehe 16 juni, 2025 wakati alipofanya ziara katika viwanja vya Gymkhana, Shule ya Sheria na Meja Isamhuyo vilivyopo jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button