Mpina “Umeboresha hospitali na mambo mazuri yamefanyika, Wanawake wenzako wanakukumbuka kwa kupunguza vifo vya akina mama na watoto,
“Umeboresha hospitali na mambo mazuri yamefanyika, Wanawake wenzako wanakukumbuka kwa kupunguza vifo vya akina mama na watoto, ulipoapa na kuahidi kwamba mama mjamzito na mtoto kazi waliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kuzaa hakuwapa kifo na ndio maana ukakataa ukasema lazima huduma za afya ziboreshwe kila mahali”-Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa.
Wananchi wamesema Mpina…. Samia aendelee na Mpina aendelee na wakasema tena CCM iendelee. Kwahiyo hata pale kwenye majina sina mashaka kwa huu ujumbe nilioufikisha kutoka kwa wananchi”-Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa.