MSEMAJI WA TIMU YA #YANGA #ALIKAMWE AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO 15/08/23

“Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha Wanahabari na Mashabiki wetu wote wanaotufatilia Mubashara kupitia Azam TV na leo nimekuja kuwapa taarifa za Mashindano ya Kimataifa na Hali ya Kikosi chetu baada ya mechi ya fainali Ngao Jamii,

Tutacheza mchezo wetu wa kwanza hatua ya awali CAFCL dhidi ya ASAS Djibouti kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi tarehe 20.08.2023 majira ya saa 11:00 jioni” @alikamwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button