Ndoa Fupi Zaidi Iliyo Wahi Kitokea Duniani.

Ndoa Fupi Zaidi Iliyo Wahi Kutokea Duniani.

Talaka hutoka kwa sababu mbalimbali kulingana na makosa ambayo hutokea ndani ya Ndoa,inaweza kuwa mwanamke au mwanamme kutokuwa mwaminifu katika
ndoa yake.

Sasa huko nchini Kuwait inaelezwa kuwa wanandoa wawili waliachana baada ya dakika 3 za kufunga ndoa na hii ilitokana Bwana harusi (mume) kumtusi/kumtukana
Bibi harusi (mke) na kusababisha bibi harusi kuomba talaka na akapewa.

Ndoa hiyo inatajwa kushikilia rekodi Duniani ya kuwa ndoa iliyodumu kwa muda mfupi zaidi Duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button