Ndoa ya Jux Ni Tobo Lake la Kimziki Nigeria Ngoma Zake Zashika 2&3 ltunes Nigeria.

Ndoa ya Jux Ni Tobo Lake la Kimziki Nigeria Ngoma Zake Zashika 2&3 ltunes Nigeria.

Katika mafanikio ya hivi karibuni ya muziki wa Afrika Mashariki, wasanii wa Tanzania wameendelea kung’ara katika soko la Nigeria kupitia majukwaa ya muziki Kama iTunes

Wimbo wa “Ololufe Mi” Wa The African Boy! Juma Jux akimshirikisha DiamondPlatnumz umefanikiwa kuingia katika chati ya iTunes Nigeria, ukishika nafasi ya 3, Huku ‘God Design’ Aliyomshirikisha Muimbaji Wa Nigeria Phynofino Imepanda Kutoka Nafasi Ya 9 Hadi 2.

Mafanikio haya yanaonesha jinsi ushirikiano kati ya wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unavyoweza kuleta matokeo Chanya na kupanua wigo wa muziki wa Kiafrika kimataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button