Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake, kukagua mojawapo ya eneo la maonesho ya vyakula ikiwa ni maandalizi ya Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Mhe.Dunstan Kitandula(Mb) na baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake, kukagua mojawapo ya eneo la maonesho ya vyakula ikiwa ni maandalizi ya Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika litakalofunguliwa rasmi kesho Aprili 23,2025 jijini Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button