RAIS MWINYI APONGEZWA NA ZENJI ONE IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One leo Ofisini kwake Ikulu Zanzibar tarehe 23 Aprili 2025.
Zenji One amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila sekta, pia kwa kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025-2030 na kuahidi kuendelea kutangaza kazi nzuri anayoendelea kufanya na kushiriki katika hamasa za kampeni katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Oktoba