Nida Yaondolewa Kikwazo Cha Umri namba Kuonganisha Huduma za Kiraia

Nida Yaondolewa Kikwazo Cha Umri namba Kuonganisha Huduma za Kiraia

Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ili utambuzi uwafikie watoto chini ya miaka 18.

Agizo hilo limetolewa leo Septemba 16, 2026 na Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Utambulisho wa Utaifa, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Aidha, ili kuondoa vikwazo na sababu za baadhi ya Watanzania kukosa vitambulisho vya Nida, Waziri Mkuu ameagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri, akisema utambuzi uwafikie makundi yote, wakiwemo watoto wadodo.

  1. “Utambulisho ni msingi mkuu wa udugu, utambulisho ndio unaojenga msingi wa udugu na ni msingi pia wa usalama,” amesema Waziri Mkuu, akisisitiza kuwa utambulisho wa utaifa ni msingi wa maendeleo, akiwasisitiza wananchi ambao bado hawajachukua vitambulisho vyao kwenda kuvichukua.

“li kuondoa vikwazo kwa Watanzania kukosa vitambulisho vya uraia, kwa kigezo cha umri, Mamlaka ya Vitambulisho

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button