Uapisho wa Wakuu wa mikoa ya Mbeya, Geita, Pwani, Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Wakuu wa mikoa ya Mbeya, Geita, Pwani, Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2026.






