Picha : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.