Pogba kufungiwa Miaka 4 kisa Dawa za kuongeza Nguvu

Paul Pogba mwenye umri wa miaka 30 na mchezaji wa timu ya juventus yuko hatarini kufungiwa kifungo cha muda mrefu  baada ya kugundulika kutumia dawa za kuongeza nguvu , bado  uchunguzi unaendelea 

Pogba alichukuliwa vipimo  mwezi uliopita katika mchezo wao wa kwanza wa ligi  dhidi ya Udinise , vipimo hivi huchukulia  kwa kushitukiza na mchezaji wowote anaweza kupimwa , mpaka sasa amesimamishwa  kucheza na timu yake mpaka uchunguzi ukamili, ikibainika kuwa anatumia madawa hayo basi huenda akafungiwa muda mrefu kutocheza mpira

Baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kukamatwa kwasababu ya utumiaji wa dawa hizo ni 

Vinnie jones alifungiwa miezi sita 

kolo toure alifungiwa miezi 6

Adrian Mutu 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button