Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa Tutzing mara baada ya kutembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button