RAISI SAMIA AMEKUTANA NA WANACHAMA WANASHERIA WA (TLS)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.





