Trending

Rapper Lil Tjay Afukuzwa Katika Hoteli Aliyopanga Kisa Muziki !?

Rapper Lil Tjay amepost video kueleza kuwa amefukuzwa katika hotel room aliyopanga saa 2 Asubuhi baada ya kugongewa na kuambiwa anapiga kelele kutokana na muziki mkubwa Aliokuwa Akiupiga hivyo apunguze lakini Tjay hakufanya kama inavyotakiwa mara ya pili walikuja na kumtimua katika Hoteli hiyo.

VIDEO YA LIL TJAY AKIELEZEA KILICHOMTOKEA KISHA KUFUKUZWA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button