Trending
Helikopta Mbili Zagongana Na Kuua Watu Wa 3 Kusuni Mwa California.
Watu watatu waliuawa baada ya helikopta mbili za kuzima moto kugongana Kusini mwa California siku ya Jumapili wakati zikiangaika kuuzima moto katika Kaunti ya Riverside, Moto uliozuka katika poli dogo majira ya saa 12 jioni.📌
Maafisa wa dharura walisema. Helikopta moja ilitua salama. Na Watu wote watatu kwenye helikopta nyingine walifariki.🥲💔
Three people were killed after two firefighting helicopters collided in Southern California on Sunday while fighting a blaze in Riverside County, emergency officials said. One helicopter landed safely. All three people on the other helicopter died. (Aug. 7)