Rick Ross Atumia Bil 250+ Miezi Sita Iliyo Pita.

The Big Boss @richforever reveals hespent $100m in last 6 months ago. What do y’all think about this price.?

————————————-

Rick Ross mapema wiki hii Alipokuwa akifanya Mahojiano na Apple Music amenyoosha maelezo kwa kusema kuwa Miezi sita iliyopita ametumia Takribani Billion (250) kwenye matumizi yake ya
kawaida kwenye Uwekezaji wa kununua Jumba la kifahari na Privat JetĀ  huyu anaitwa The Big Boss Roseey.

Habari hi inaweza ikaku Shangaza kutokana na Uwingi wa pesa lakini nikuambie sio wewe tu Mtazame kwa Makini @meekmill namna ambavyo
ameshusha pumzi baada ya kusikia hayo Mabilioni.

Msikilize kwa makini Meek Mill bado anakumbuka kuwa #Rossey mwishoni mwa mwaka jana aliwahi kumnunua Buffalo mkubwa ambae Alighalimu
mabilioni ya pesa na Buffalo huyo anaishi tu maisha ya kifahari kwenye jumba la Rick Ross huko Miami.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button