Ruto, Uhuru na Obasanjo Msibani Kumuaga Raila Odinga.

Ruto, Uhuru na Obasanjo Msibani Kumuaga Raila Odinga

Rais wa Kenya, William Ruto akiwa katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga, Kaunti ya Siaya kushiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa upinzani, hayati Raila Odinga.

Viongozi wengine ni Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kiongozi wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ambaye ni rafiki wa muda mrefu wa familia ya Odinga wameungana na waombolezaji kushiriki mazishi hayo.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button