Serikali itaendelea kushirikiana na madhehebu ya dini
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatakia heri katika jambo hili jema na lenye manufaa makubwa kwa wananchi wetu bila kujali dini au itikadi zao na ameahidi Serikali itaendelea kushirikiana na madhehebu ya dini katika kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa wananchi wote.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novembea 15, 2026
📍 Bulongwa, Makete, Njombe
—————————————————-
Amesema hayo alipokuwa mgeni rasmi katika Harambee ya ununuzi wa vifaa tiba vya hospitali ya Bulongwa iliyoko wilayani Makete, mkoani Njombe.







