Mwenyekiti wa Chama cha wasioona Tanzania Ndugu Omary ameishukuru kampuni ya usafirishaji mizigo nchini @silent_ocean_ltd chini
-
Mwenyekiti wa Chama cha wasioona Tanzania Ndugu Omary ameishukuru kampuni ya usafirishaji mizigo nchini @silent_ocean_ltd chini @counsellorsalaah kwa kutoa misaada ya fimbo zinazosaidia katika kuwaongoza kwenye matembezi ya kila siku.





