Tunaomba viboko virejeshwe shuleni. Ukisema ufute viboko, watoto watakosa adabu. ππππ€π¬π¨π§ ππ€ππ¦π
Tunaomba viboko virejeshwe shuleni. Ukisema ufute viboko, watoto watakosa adabu.
ππππ€π¬π¨π§ ππ€ππ¦π
ππΈπ’π―π’π―π€π©πͺ
ποΈ Novemba 10, 2026
π Majengo, Kahama
βββββββββββββββββ
Amesema hayo akiwasilisha ombi la kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni mbele ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati wa mkutano wa hadhara eneo la Maegesho ya MaloriβMajengo, Manispaa ya Kahama.




