Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu

Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi.

𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢

🗓️ Novemba 11, 2026
📍 Segese, Msalala, Shinyanga
—————————————————

Amesema hayo baada ya Mbunge wa Msalala, Mabula Johnson Magangila, kueleza kuwa baadhi ya wanafunzi wanakatisha masomo na kwenda machimboni, wakiwemo wanaofaulu kwa daraja la kwanza na kuchaguliwa kuendelea na masomo, wakati wa mkutano wa hadhara katika viwanja vya Segese.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button