Serikali ya Israel, inathibitisha kwamba Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix watekwa na Hamas
Katika taarifa iliyotolewa na Serikali ya Israel, inathibitisha kwamba Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga Raia kutoka Tanzania wakiwa huku katika mafunzo ya kilimo wametekwa nyara na magaidi wa Hamas na wanashikiliwa mateka huko Gaza.