Kocha mkuu wa Lyon Fabio Grosso akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na mashabiki wa klabu ya Marseille.

Kocha mkuu wa Lyon Fabio Grosso akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na mashabiki wa klabu ya Marseille.

 Ilikuwa hivi basi ambalo kocha huyu alikuwepo lilishambuliwa na Mawe mengi ambayo baadhi ya  vioo vilimkata  kata  usoni

Baada ya tukio hilo ,mchezo uliokuwa uchezwe saa 4:45 mechi kati ya Lyon na Marseille imehairishwa

Klabu hizo mbili zinazojulikana  kwa uhasama mkubwa wa  mashabiki wao katika ligi hiyo ya ufaransa ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button