Mwanamuziki Chris Brown atakuwa gerezani nchini Uingereza kwa mwezi ujao baada ya kukamatwa kuhusiana na tukio linalodaiwa kutokea kwenye klabu ya usiku jijini London mwaka 2023

Mwanamuziki Chris Brown atakuwa gerezani nchini Uingereza kwa mwezi ujao baada ya kukamatwa kuhusiana na tukio linalodaiwa kutokea kwenye klabu ya usiku jijini London mwaka 2023. Ripoti zinasema Brown alikamatwa mjini Manchester ambako alikuwa amepangiwa kufanya onesho. Alipofikishwa mahakamani baada ya kukamatwa, iliripotiwa kuwa aliamriwa kushikiliwa rumande hadi Juni 13 na kuhamishiwa London ambako mashtaka yaliwasilishwa. Mara Montalbano wa Inside Edition Digital ana taarifa zaidi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button