Trump Hatiani Kula Njama Kubadili Matokeo ya Uchaguzi 2020.
Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa tuhuma za kula njama kutaka kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020 ambao alishindwa.
Inaelezwa kuwa tuhuma hizi huenda zikamuathiri pakubwa zaidi katika kampeni zake za kutaka kurejea White House mwaka 2024.