Wawili Mbaroni Kwa Kuisababishia Serikali Hasara.

Ernest Odhul Omalla na Juma Salum Gululi ambao ni wamiliki wa Kampuni ya Move Tanzania Ltd, wamefikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka 16 ikiwemo Kughushi.

Nyaraka Makosa mengine ni Kuwasilisha Nyaraka za Uongo, Kujipatia Mkopo kwa njia ya Udanganyifu na kuisababishia Serikali hasara kinyume na Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 Pitio la Mwaka 2019.

Baada ya kusomewa Mashtaka, Watuhumiwa wote walikana makosa yote na kupelekwa Mahabusu baada ya kutokidhi masharti ya dhamana. Kesi
imeahirishwa hadi Oktoba 30, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button