Ali Kamwe Atozwa Faini kwa Kosa la Kukejeli.

Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe
ametozwa faini ya TZS milioni 1 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kosa la kumkejeli na kumdhalilisha mwamuzi, Tatu Malogo kupitia mitandao ya kijami.

Imeelezwa kuwa, Kamwe alichapisha picha ya mwamuzi huyo katika ukurasa wake wa Instagram akiunganisha na wimbo wa Billnas uitwao ´Maokoto,’ hali iliyotoa tafsiri ya kumhusisha mwamuzi huyo na masuala ya rushwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button