Waziri Ghana anachunguzwa na FBI baada ya $1 million (£813,300) kupotea
FBI kutoka marekani kushirikina na wana usalama wa Ghana wako kwenye uchunguzi mkali wa aliyekuwa waziri wa usafi Cecilia Abena Dapaah, kwenye Mali zake na na kazi Pesa ambazo amekuwa akijihusisha nazo pia watu wakaribu wake ambao wako marekani ,
Askari usalama wa Ghana pamoja na baadhi ya vyombo vya habari vya Ghana wameshanganzwa na utajiri wa waziri huo na mala kadhaaa wamejaribu kohoji utajiri wa waziri huyo ,
Ivi karibuni nyumbani kwa waziri huyo kumekutwa pesa taslimu cashi $1 million (£813,300) , ambapo waziri huyo alijirepot mwenyewe polissi nakusema kulikuwa kuna upotevu wa pesa ofisni kwake na wafanya kazi wawili walihusika ,
baada ya kelele nyingi kutoka kwa wanachi wa Ghana na baadhi ya wabunge waziri huyyo alimuwa kuachia madaraka na alikana kuhusu kuiba pesa hizo








