Yanga lmetwa Ubingwa wa Ligi Kuu 2024/2025 kwa Mara ya Nne

Yanga Imetwaa Ubingwa wa Ligi Kuu 2024/2025 kwa Mara ya Nne

Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC, katika mchezo wa mwisho wa ligi uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ushindi huo umehitimisha rasmi mbio za ubingwa huku Yanga ikionyesha ubora mkubwa uwanjani na kuthibitisha kuwa wao ndio mabingwa halali wa msimu huu.

Hii ni mara ya nne mfululizo kwa Yanga kutwaa taji hilo tangu msimu wa 2021/2022 ambapo yanga imeonesha kutawala katika misimu hiyo na kuifanya kufikisha jumla ya mataji 31 ya Ligi Kuu katika historia yao, rekodi inayoendeleza ubabe wao kwenye soka la Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button