Aucho Asimamishwa Kazi Kisa Utovu wa Nidhamu.
Aucho Asimamishwa Kazi Kisa Utovu wa Nidhamu.
Uongozi wa klabu ya Singida Black Star kupitia kamati ya nidhamu imemsimamisha kazi mchezaji Khalid Aucho kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini kwa takribani miezi mitatu.