Kamata Kamata ya Polisi Dk. #Slaa Naye Atiwa Mbaroni.

Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Dr Wilbroad Slaa anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akikabiliwa na makosa ya uhaini.

Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache tangu, Mkuu wa Jeshi la polisi, IGP Camilius Wambura, kutamka kuwa kuna watanzania wenye nia ya kumpindua Rais Samia Suluhu Hassan.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button