Ziara ya Nicki Minaj “Pink Friday 2”ikitengeneza zaidi ya ($34.9 million) zaidi ya TSh. Bilioni 90

Ziara ya Nicki Minaj “Pink Friday 2” imeweka rekodi ya kuwa ziara iliyofanikiwa zaidi kwa rapa wa Kike, ikitengeneza zaidi ya ($34.9 million) zaidi ya TSh. Bilioni 90 toka kwenye mauzo ya tiketi 220,000 katika maonesho 17 ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button