Mtangazaji Abdallah Hamisi Ambua maarufu kama (dullahplanet), ametangazwa rasmi kujiunga na Crown Media inayomilikiwa na mwanamuziki, officialalikiba

Dullah Planet alikuwa mtangazaji wa East Africa Radio/Tv ambapo alidumu ndani ya miaka kumi na tano, na anakuwa mtangazaji wa kwanza kutambulishwa Crown Fm/Tv.