Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amewasili eneo la Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Polisi Mtumba Daraja A
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amewasili eneo la Mtumba jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kituo cha Polisi Mtumba Daraja A kinachotarajiwa kufunguliwa rasmi leo na Mhe. Dkt. Philip Mpango Makamu wa Rais







