Aomba Aachiwe Akafanyiwe Upasuaji.

Aomba Aachiwe Akafanyiwe Upasuaji.

Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 27 kwa kupanga njama ya kuipindua serikali baada ya uchaguzi wa 2022, ameomba Mahakama Kuu Imuachilie kwa muda ili afanyiwe upasuaji kutokana na hali mbaya ya afya baada ya kugundulika na saratani mwezi Septemba.

Wakati huohuo, vurugu zilitokea Bungeni wakati wabunge walipokuwa wakijadili muswada unaoweza kupunguza kifungo chake. Bolsonaro alianza kutumikia kifungo mwezi Novemba mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button