Bulgaria kuondoa vikwazo vya Nafaka kutoka Ukraine
Sofia Bulgaria, serikali imehamuwa kutoongeza muda wa vikwazo vya kutoagiza Nafaka kutoka taifa la Ukraine
Baada ya Russsia kuivamia ukraine usafilishaji kupitia black sea shopping ulifungwa na hivyo kufanya taifa la Ukraine kutumia nchi za ulaya kwenye usafilishaji wa Nafaka na mazao mengine katika biashara.
Mwezi wa sita baraza kuu la nchi za Ulaya ilipiga marufuku uagiza au ununuwaji wa Nafaka kutoka Ukraine kwa nchi tano ambazo ni wanachama wa ulaya walio kuwa wanalalamika kushuka na kuharibika kwa bei ya nafaka
Nchi hizo tano ni Bulgaria, Romania. Hungary, Romania na Poland, Pia Romania imesema inaunga mkono kwa hatuwa ambazo Bulgaria imechukuwa kuondowa vikwazo hivyo.






