Dakar- Raisi kijana mpya wa senegeal Bassirou Diomaye Faye aapishwa
Hafla ya kumuapisha Bassirou Diomaye Faye, imefanyika katika mji wa Diamniadio, karibu na mji mkuu mkuu Dakar.
Faye, anakuwa rais wa awamu ya tano wa Senegal tangu taifa hilo lilipopata uhuru kutoka kwa Ufaransa mwaka 1960, pia akiwa ni rais mwenye umri mdogo zaid kuwahi kuiongoza Senegal.
Pamoja na kuahidi mabadiliko ya kimfumo katika hotuba yake baada ya kuapishwa, Dioumaye Faye amesema taifa lake litazingatia katiba na sheria








